Rasmi: Juan Mata aongeza mkataba Manchester United


Kiungo Juan Mata amesaini mkataba mpya na klabu yake ya Manchester United hadi Juni 2021, na uwezekano wa kuongeza mwaka zaidi.

Mkataba wa sasa wa Mata klabuni hapo unaisha mwisho wa mwezi huu.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia