Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, huku ikishika nafasi ya 7 Kusini mwa Jangwa la Sahara, na nafasi ya 54 kati ya nchi 163 katika viwango vya amani duniani. Kwa Afrika Mashariki Rwanda ni ya pili, ikifuatiwa na Uganda. Iceland, New Zealand na Ureno zinaongoza kwa amani duniani.