GARI hili lilitumiwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za kudai uhuru wa Tanganyika. Gari hili aina ya AUSTIN lilikarabatiwa na Chuo cha Ufundi (VETA) cha mjini Moshi mwaka 2014, ili kwendelea kuwa katika unadhifu na ubora wake.
Gari hili kwa sasa lipo katika ofisi ya makao makuu ya CCM, mkoa wa Kilimanjaro
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE
