Nyumbani Azam FC yaichakaza Fasil Kenema byMuungwana Blog 2 -8/24/2019 06:43:00 PM 0 Klabu ya Azam imeibuka mbabe kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ambapo imefanikiwa kuichakaza vibaya Fasil Kenema kwa mabao 3-1 ambapo katika mechi ya kwanza walifungwa 1-0. FT: Azam FC 3-1 Fasil Kenema (Agg: 3-2) Facebook Twitter