Nyumbani Yanga yasonga mbele kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika byMuungwana Blog 2 -8/24/2019 06:36:00 PM 0 Klabu ya Yanga imefanikiwa kupata ushindi ugenini na kusonga mbele kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuifunga Township Rollers 1-0 kwenye Dimba la Taifa la Botswana. FT: Township Rollers 0-1 Yanga SC (Agg: 1-2) Facebook Twitter