Baada ya Meneja wa msanii Diamond Platnumz, Sallam SK kutangaza kuwa Harmonize aliyekuwa chini ya lebo ya WCB kuandika barua ya kuvunja mkataba na lebo hiyo, Mashabiki wa WCB hawataki kukubali ukweli huo na wengine kuanza kumsema vibaya (kumkalia kooni) kupitia mitandao yake ya kijamii.
Hii ni baadhi ya comment za mashabiki kwenye ukurasa wa Harmonize;
coxdawayao
MTOTO AKILELEWA NA WAZAZI AKIKUA LAZIMA AKAJITEGEMEE UKIONA ANAOGOPA UJUE MUOGA WA MAISHA 😂😂
22h436 likesReply
frank.makota.90
Yan sikupendi wew mbwa wew
22h100 likesReply
mr_mmarekani
Tupo pamoja ulipo tupo ni fahari yetu kqa wana kusini
22h249 likesReply
momsara800
Oyoooooo mishabiki namba moja konde gang
22h255 likesReply
wemanation_
Team KONDEGANG wote likes zenu hapa
21h213 likesReply
kondeboys1
kama umemuelew mnyam lik hap tujuan
22h198 likesReply
socializertz
Chain hujavaaa wewe ni mafia aiseee acha wakae na barua yako miaka yote
22h147 likesReply
tiner_samsed
Kama unaamini mzik wa konde upo juu MPE like😍😍😍😍😍😍😍😍😍
22h137 likesReply
bullajr_
WCB HAKUWEZ WANYOSHEE😂😂
22h119 likesReply
simbascdaily
fanya kazi konde wanao kuponda ww kuhama ni wale wanao kaa kwa shemeji zao
21h96 likesReply
ignas_msafi
Nyota imeshaanza kufifia😂😂
22h45 likesReply
ommydiimpoz
Pasua kichwa fala ww
22h53 likesReply
kachaafunua
Nimefurahi kung'atuka wcb 👏👏👏👏👏
22h75 likesReply
kondegang4life
Yoooo kondegang4_life 🔥🔥🔥🔥
22h60 likesReply
mpembashombeshombe
Wabongo sasa hapo wata view baadae watatukana
22h57 likesReply
saadesaads
🔥🔥🔥nita comment siku hizi na ku like🤣🤣🤣
22h58 likesReply
prince_muuzasura
Bro nliomba kazi konde_gang ujanijibu....
22h51 likesReply
chaliimmacy
twende sawa team harmoniz niffolow nkufollpw back
22h46 likesReply
official_fadhili_king
Diamond asingetoka sharobaro record leo isingekuwepo wasafi so konde boy sepa zako man
de_bwoy_mnyamaa8
Umezingua broh
22h23 likesReply
soudybrown._
😂😂😂😂😂napita 🏃🏃🏃
22h26 likesReply
kidaya_____
Sepaa kabisaa kwanzaa ulikuwaa una igaa kilaa kitu hadiii kunyaa kwa @diamondplatnumz unaigaa nendaa huko mshambaa wa kimakonde wewe @harmonize_tz
22h15 likesReply
harmonize_wa_sasa
KAMA wewe unaamini mungu ndie mgawa ridhiki Embu Like Apa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
21h29 likesReply
