Laudit Mavugo kucheza timu moja na Simon Msuva


Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Laudit Mavugo amejiunga na Timu ya Difaa El Jadida ya Morocco Kwa kandarasi ya miaka miwili.

Kutokakana na usajili huo, sasa ni rasmi Laudit Mavugo anaungana na Simon Msuva winga wa Timu ya Taifa ya Tanzania.

Ikumbukwe Mavungo ana tuzo ya mfungaji bora wa Napsa Stars inayoshiriki Ligi Kuu nchini Zambia kwa msimu 2018/2019.
Mpya zaidi Nzee zaidi