Loading...

8/13/2019

Myanmar: Watu 65 wafariki kutokana na mporomoka wa ardhi


Idadi ya vifo kutokana na mporomoka wa ardhi katika eneo la Mon Mon la Myanmar imeongezeka hadi 65 kufikia hii leo.

Hiyo ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Idara ya Huduma za Uokoaji na moto ya Myanmar, huku wakieleza kuuwa juhudi za uokoaji zitaendelea hadi miili ya wote waliopotea ipatikane.

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger