Picha: Rais Mstaafu Kikwete akutana na viongozi wa Halmashauri ya Chalinze


Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete amekutana na viongozi wa Halmashauri ya Chalinze na kuwashauri wanavyoweza kukabiliana na changamoto za Miundombinu ya afya katika Halmashauri hiyo.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items