Loading...

8/16/2019

Rais wa Shelisheli atua nchini kushiriki Mkutano wa SADC


Rais wa Shelisheli, Danny Faure, amewasili Nchini na kupokelewa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam tayari kabisa kwa mkutano wa 39 wa SADC  unaotarajia kuanza kesho.

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger