VIDEO: Kocha wa AS Kigali atamba baada ya kuichapa KMC/ Ataja udhaifu wao/ Hakuna bahati kwenye mpira
byMuungwana Blog 1-
0
Kocha mkuu wa timu ya AS Kigali, Eric Nshimiyimana ametamba baada ya kuifunga KMC mabao 2-1 kwenye mchezo wa marudiano wa raundi ya kwanza ya kombe la shirikisho. Pia kocha huyo amezungumzia udhaifu walioutumia kwa wapinzani wao.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE