VIDEO: DC Kigamboni atangaza kuwavunja miguu na mikono wezi


Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri amewaonya watu wenye tabia ya wizi na udokozi ambapo ametangaza kuwa yeyote akakayekamatwa kwa kesi ya wizi atakatwa mikono na miguu.

Hivyo wazazi wawaonye watoto wenye tabia hiyo kwani kumeibuka tabia wizi na udokozi kwenye baadhi ya maeneo ya wilaya hiyo hususani unyanyi wa pikipiki na kupindikia kwenye uzio wa nyumba na  kuiba vitu mbalimbali ikiwemo kung'oa vifaa vya kwenye magari.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items