Naibu waziri wa maji, Jumaa Aweso amewaweka ndani wasimamizi wa Bodi ya Maji ya MAKILENGA kwa Kushindwa kusimamia mradi wa maji katika Vijiji 22 vilivyopo katika kata ya King’ori Wilayani Arumeru Mkoani Arusha.
Miongo ni mwa waliokamatwa ni mwenyekiti wa Bodi na Mhasibu kutokana na kushindwa kutoa taarifa kuhusu maendeleo ya mradi wa maji jambo ambalo ni hujuma.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
