Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya KMC FC dhidi ya AS Kigalo kutoka Rwanda imemalizika kwa wenyeji kukubali kichapo cha mabao 2-1.
Mechi hiyo ya mkondo wa pili imefanyika jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Taifa huku ikishuhudiwa na watazamaji wachache waliojitokeza leo ndani ya dimba hilo.