VIDEO: Kocha wa Yanga na Ramadhan Kabwili watamba mchezo wao dhidi ya Township Rollers


Kocha msaidizi wa  klabu ya Yanga SC, Noel Mwandila pamoja na kipa wa timu hiyo Ramadhan Kabwili wamefunguka kuhusu mchezo wao wa Jumamosi hii wa hatua ya kwanza ya klabu bingwa Afrika (CAF) dhidi ya Township Rollers ya nchini Botswana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items