VIDEO: Mbunge aliyetimuliwa na Lipumba afunguka mazito, "Shusha tanga safari inaendelea"


Aliyewahi kuwa mbunge wa viti maalum kupitia CUF, Raisa Abdallah Mussa ambaye kwa sasa ni Katibu wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo amefunguka kuhusu ziara ya Zitto Kabwe Alhamisi hii katika soko la Tandale. Pia Raisa amegusia kuhamia kwake ACT-Wazalendo .

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE 
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia