Group ya SIMBA damu Tanzania leo wamefanya ziara katika Hospitali ya Ocean Road ambapo ni muendelezo wa wiki ya Simba , lengo lao kutimiza azma yao ya kuwaona wagonjwa Hospitalini hapo na kusherehekea nao
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE