VIDEO: Mbunge CHADEMA acharuka ''mwezi wa 11 tutawachapa kisawasawa ''


Mbunge wa viti maalumu kupitia tiketi ya CHADEMA Conchesta Rwamlaza amesema kuwa wamejipanga vya kutosha katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi wa kumi na moja nchi nzima na kwamba watawashangaza wapinzani wao ambapo amesema kuwa watawachapa kisawasawa katika uchaguzi huo na kuibuka na washindi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia