VIDEO: Utapenda Zahera na wachezaji wake wa Yanga walivyotua Taifa "kibabe"/ Shikalo nje


Kikosi cha wachezaji wa Yanga kimewasili katika uwanja wa taifa kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Township Rollers unaotarajiwa kuchezwa katika uwanja wa Taifa jjini Dar es Salaam leo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE