VIDEO: Mbunge Sonia aahidi CUF kutesa uchaguzi serikali za mitaa/ Rushwa ya ngono "Tunatengeneza mazingira wenyewe"


Mbunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Tanga kupitia chama cha CUF, Sonia Magogo, ametamba kuwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 24 ya mwaka huu, chama chake kitashinda viti vingi. Pia mbunge huyo amefunguka kuhusu rushwa ya ngono ambayo wamekuwa wakiombwa wanawake ili wapewe nafasi ya uongozi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE