Crystal Palace yaichakaza Manchester United, Rashford akosa penati

Klabu ya Manchester United imepokea kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Crystal Palace kwenye dimba la Old Trafford.

Magoli ya Palace yalifungwa na Jordan Ayew na jingine Ptrick van Aanholt na lile la United likifungwa na Daniel James.

Katika mchezo huo Rashford alikosa penati kwa Manchester United.