Maafisa wa Paris St-Germain na Barcelona walikutana kwa mara ya kwanza kujadili kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa PSG Neymar, 27, lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa baada ya mazungumzo ya saa tatu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE...