F VIDEO: Wananchi walia kulipishwa fedha nyingi urasimishaji ardhi Dar, wamlilia waziri Lukuvi/ Viongozi wafunguka | Muungwana BLOG

VIDEO: Wananchi walia kulipishwa fedha nyingi urasimishaji ardhi Dar, wamlilia waziri Lukuvi/ Viongozi wafunguka


Agizo la waziri wa Ardhi, William Lukuvi kuhusu kiasi cha malipo ya urasimishaji wa viwanja imezua utata kwa wananchi wa Kitunda jijini Dar es Salaam. Wananchi hao wamelalamikia kulipishwa shilingi 180,000 badala ya 150,000.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISHAAU KUSUBSCRIBE