Mdahalo huo uliandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la Community Support Initiaves (COSITA) chini ya mkuruenzi wake Patrice Gwasma ambalo kwa sasa linaendela na mradi wa Haki za ardhi kwa Wanawake katika vijiji kumi vya Halmahauri ya mji wa Babati kwa ufadhili wa Foundation For Civil Society (FCS) ya jijini Dar es Salaam.