Wageni wanaokusudia kuitembelea Rwanda watahadharishwa, kisa?


Waangalizi wa Haki za Binadamu wamewatahadharisha wageni wanaokusudia kuitembelea Rwanda kufuatia ongezeko la wageni kushikiliwa kinyume na sheria, na kuhukumiwa adhabu pasi na kufuata kwa sheria. Tukio la karibuni linawahusu raia 3 wa Kenya waliohukumiwa kinyume na sheria.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items