Nyumbani Waislam Washerehekea Eid Al Hajj byMuungwana Blog -8/12/2019 11:00:00 AM 0 Waumini ya dini ya Kiislam nchini Tanzania wameuangana na wenzao duniani kote kusherehekea Sikukuu ya Eid Al Hajj ambayo Swala ya kitaifa imefanyika katika viwanja vya Masjid Kibaden Chanika Zogowali Ilala jijini Dar es salaam. Facebook Twitter