Watu 16 wafariki katika mafuriko

Mafuriko yaripotiwa nchini India kufuatia mvua kali zilizonyesha  katika eneo la Maharashtra.

Katika mafuriko hayo watu 16 wamefariki.
Mvua kali zimenyesha katika  maeneo tofauti  Pune, Satara, Sangli na Kolhapur.

Kituo cha habari cha ANI nchini India kimefahamisha kuwa  mvua kali hizo zimesababisha pia  uharibifu mkubwa .

Kikosi cha uokozi  nchini India kimeafahamisha kuwa kuwaokoa watu 30 000 kutoka katika majumba yao.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia