Afikishwa Mahakamani kwa kuharibu sanamu la ya Ng'ombe Dume


Mwanamume wa umri wa miaka 42 nchini Marekani amefikishwa kizimbani kujibu mashtaka ya kuharibu sanamu ya ng'ombe dume katika barabara ya Wall Street mjini Newyork.

Mwanamume huyo aliipiga sanamu hiyo na kitu chenye ncha kali kabla ya kuondoka eneo hilo. Sanamu hiyo iliwekwa mahali hapo ili kuwavutia watalii wanaozuru mji wa Newyork.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia