DCI Afungua Mkutano wa Wakuu wa Interpol kwa nchi za Afrika Mashariki
byMuungwana Blog 3-
0
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki katika Ukumbi wa AICC, Arusha.