Waziri Lugola akagua Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji Dodoma


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Maofisa wa Zimamoto na Uokoaji (hawapo pichani), wakati wa ziara ya  ukaguzi wa  Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Ramadhani Kailima na Kulia ni Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia