Nyumbani Spika Ndugai atembelewa na CAG Mstaafu byMuungwana Blog 5 -9/10/2019 04:00:00 PM 0 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu Bw. Ludovic Utoh alipomtembelea Ofisi kwake Jijini Dodoma mapema leo. Facebook Twitter