Agizo lililotolewa na Rais Magufuli kwenye mashindano ya Afrika ya kuhifadhi qur-an tukufu la kukabidhi hati kwa taasisi la AL-Hikima limetekelezwa rasmi baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla kumkabidhi hati hiyo Sheikh AbdulQadir al-Ahdal huku akiwataka kulitumia eneo hilo kwa matumizi sahihi yaliyo kwenye makuliano
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
