VIDEO: Meneja wa kiwanda kilichoteketea kwa moto afunguka A-Z
byMuungwana Blog 2-
0
Meneja wa kiwanda cha Sunflag kilichoteketea moto Jijini Arusha Bwana Haruna Mahundi amesema kuwa wamepata hasara kutokana na marobota ya pamba kuungua moto lakini hakuna madhara kwa binadamu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE