Kaimu mganga Mkuu Hospitali ya mji wa Babati (MRARA) Dr. Pastory Mahendeka ameiomba serikali itoe kibali cha kuajiri watumishi katika Hospitali hiyo kwa kuwa kuna upungufu wa asilimia 48 ya watumishi ambao wanazidiwa na majukumu.
Hopitali ya Mji wa Babati MRARA ni Muhimu kuboreshwa kwani licha ya kuwa ni ya mji lakini pia inahudumia wakazi wa wilaya za Mbulu,Hanang,Simanjiro,Kiteto,na mikoa ya Arusha na Dodoma haswa wilaya ya Kondoa.
TAZAMA FULL VIDERO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
