VIDEO: IGP Sirro afanya ziara Zanzibar



Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hali ya usalama katika visiwa vya Zanzibar imezidi kuimarika kutokana na ushirikiano uliopo kati ya vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na wananchi wa visiwani humo.

IGP Sirro ameyasema hay oleo wakati akiwa katika ziara ya siku moja ambapo amekagua miradi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya askari pamoja na kutembelea eneo la uwanja wa mbinu za medani lililopo Kiashange, Kaskazini unguja.


TAZAMA  FULL VIDEO HAPA CHINI........ USIKOSE KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia