VIDEO: Katibu mkuu CUF "Khalifa" atoa onyo kwa makatibu wa wilaya, kisa uchaguzi wa serikali za mitaa


Katibu mkuu wa CUF Taifa, Khalifa Suleimani Jumapili hii ametoa onyo kwa makatibu wa wilaya wa chama chao kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 24 ya mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia