VIDEO: Lipumba atoboa siri ya CCM uchaguzi wa serikali za mitaa, wapanga kutumia 4-4-2


Mwenyekiti wa chama cha CUF Taifa, Professa Ibrahim Lipumba, ameweka wazi siri ya mpango wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika mwezi Novemba mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE