VIDEO: Mpinzani wa Rosa Ree ajitokeza


Msanii wa Hip Hop Mkoani Arusha Anneth Godson Jina la Kisanii TRIXY  Amesema kuwa yeye ni msanii mwenye malengo lakini ameleza utofauti uliopo kati ya Msanii Ally Kiba pamoja na Diamond Platnum na ameleza kwanini yeye anaimba Hiphop zaidi tofauti na wanawake wengine huku akisema aliyemvutia zaidi kuingia katika Hiphop ni Msanii Tammy The Baddest Rosa Ree

Pia amesema kuwza kutokana na uzuri wake kwa siku anatongozwa na wanaume 6 lakini hawezi kukubalia kila mwanaume  kwasababu tayari ana Mchumba

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU SUB SCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia