Nyumbani Yanga yashindwa kutamba nyumbani byMuungwana Blog 2 -9/14/2019 06:24:00 PM 0 Klabu ya Yanga imetoka sare ya 1-1 na Zesco United katika mshindano ya Ligi ya Mabingwa mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. FT: Yanga SC 1-1 Zesco United Facebook Twitter