Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwenye viwanja mbali mbali na haya ndio matokeo ya michezo hiyo;
FT: Namungo FC 2-0 Singida United (Reliant Lusajo 27’, Mo. Ibrahim 46')
FT: Mbao FC 1-0 Biashara United (Emmanuel Lukinda 21')
FT: JKT Tanzania 0-1 Lipuli FC