Loading...

10/09/2019

Hii hapa ratiba kamili ya Kombe la Shirikisho barani Afrika

Mechi zote za mtoano kuwania kuingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika zitapigwa Oktoba 27 na mechi za marudiano ni Novemba 3.

Wawakilishi wa Tanzania Yanga wataanzia nyumbani dhidi ya Pyramids ya Misri.


Loading...