LIVE: Ziara ya Rais Magufuli Mkoani Songwe


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Songwe ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Songwe na Wilaya zake.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items