Ndege walioishi miaka Milioni 96 iliyopita wagundulika


Wanasayansi wa Australia wamegundua aina mpya kabisa ya ndege ya Pterosaur ambayo wanasema waliishi takriban milioni 96 iliyopita na walikuwa na mabawa ya mita 4 na walipata jina Joka la Chuma.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items