Kocha wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Patrick Aussems amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20.
Huku mshambuliaji wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Miraji Athumani amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20.

