Rais Magufuli azindua safari za ndege Dar es Salaam - Mpanda, atoa onyo
byMuungwana Blog 5-
0
Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua safari za ndege za shirika la ndege Tanzania (ATCL) za Dar es Salaam - Mpanda (Mkoani Katavi) na atoa onyo kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya.