Simba yakwea pipa kuwafuata Mashujaa FC na Black Eagles

Baada ya jana kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki  wa kimataifa dhidi ya Bandari uwanja wa Taifa, Simba leo imekwea pipa kuelekea Kigoma.

Kigoma watacheza michezo miwili dhidi ya Mashujaa FC na Black Eagles uwanja wa Lake Tanganyika.