VIDE: Naibu Waziri wa maji akerwa na kusuasua kwa mradi wa maji


Naibu waziri wa maji Juma Aweso amamuagiza mhandisi  mkuu wa wizara ya maji kwenda wilayani  Uyui mkoani Tabora kushughulikia mgogoro  unasabaisha kusuasua kwa ujenzi wa matenki matatu ya mradi wa Maji kutoka ziwa Victoria ambao unatekelezwa katika  baadhi ya wilaya za mkoa wa Tabora.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia