Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi leo amelazimika kwenda kutuliza maandamano ya wafanya kazi wa kampuni ya Mohamed Bulders wanaotekeleza miradi wa Soko kuu na Standi kubwa ya Mabasi Jijini Dodoma wanayoidai kampuni hiyo, wakidai malimbikizo ya mishahara yao, huku Mkuu wa Wilaya akiahidi kukutana na uongozi wa kampuni hiyo kutatua tatizo hizo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
