VIDEO: Habari za michezo leo Oktoba / 7 tetesi za kimataifa


Makampuni ya kamari yameongeza dau juu ya uwezekano wa kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer kufutwa kazi baada ya kukubali kichapo cha kushtukiza dhidi ya Newcastle. Kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino anapigiwa upatu kuchukua mikoba ya Solskjaer

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE