VIDEO: Kinachoendelea uandikishaji wa wapiga kura Arusha, RPC atangaza habari njema


Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shana amesema kuwa  hali ya usalama iko shwari na hakuna tukio lolote lililotokea katika  vituo vyote vya uandikishwaji  katika mkoa wa Arusha  hivyo wananchi wajitokeze kwa wingi kwaajili ya kujiandikisha ili  kumchagua anaestaili.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items